Shughuli za SheikhKila khutba na somo linachezwa kutoka maktaba ya Sheikh mwenyewe.
Maandishi kamiliKiswahili
Kipande teule

Mtaingia Peponi kwa salama

Kutoka mhadhara kamili: TEST · Player check (delete before launch)

Sheikh Jamaludin Osman

⤓ Pakua

Kwa Kiingereza, lugha ya rekodi hii.

Kisha wasallo bil leili wanasu niya Napia usiku wasuali kama watuwa milala Annatija Tadkulu janna terabikun bisalam Maana Tadkulu janna terabikun bisalam Bimaana uta ingia janna kwa salama Je kuna umuhimu kuna ingia janna? Naam Te napia kuna umuhimu zaidu ingia janna kwa salama Ma maana tadkulu janna terabikun bisalam? Bimaana Allaa taku fisha katika tawhit Hawtapata suul khatima Tadkulu janna terabikun bisalam? Bimaana uta salimika kutokana na adhaabu ya kaburi Tadkulu janna terabikun bisalam? Bimaana siku ya qiyama munyezingu atastiri aibuyaku Tadkulu janna terabikun bisalam? Bimaana Allah Subhanahu wa Ta'ala hata ku ingiza muto wajahana Tadkulu janna terabikun bisalam? Bimaana wa ingia janna bila haya mambuyotiku kupata