Siri ya swala za usiku: wakati wa kuwa karibu na Allah Sheikh Jamaludin Osman Jambo la kuwanza, umeza kufshirana na nafsi yako, umehachara hayako, singizi wako, yote kwa jili Allah. Jambo la pili, umechagua wakati ambapo, hakuna mtuwa takushugulisha. Hauna mki ya kukushugulisha midahiyo, kama ni mambuyako, usha malizana nae, usha amuka. Hauna kazi, hakunasimu, you have nothing that is going to make you busy from Allah. Hasabe unapuamuka suwala zausiku ni wakati ambapo unakua na connection na Allah without any distraction. Nde umana Allah amumbia mtume waki asuwali suwala zausiku kwa nini kwa sababu wakati huo ndo fursa kubwa zaidi ya kwa karibu na Allah.